TIGO WAJA NA ” Nokia C1 na Nokia C10 ” TOLEO JIPYA NA LA KISASA.

 Leo tarehe 8 Julai 2022 , Kampuni namba moja ya huduma za Kidigitali hapa nchini Tigo pamoja na Kampuni ya Simu za mkononi ya NOKIA  wametambulisha simu mpya za NOKIA C1 na NOKIA C10 zenye muonekano wa kijanja, uwezo mkubwa na bei nafuu. Akizungumza wakati wa kutambulisha simu hiyo Meneja wa vifaa vya intaneti  kutoka